Tag: habari
-
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya VETA 2026

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya VETA 2026 Yametangazwa Dar es Salaam, Desemba 16, 2025 – Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza rasmi majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya VETA kwa muhula wa masomo unaoanza Januari 2026. Kwa mujibu wa tangazo hilo, uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa…
-
NEW JOBS AT PSPR

Nafasi za Kazi Ajira Portal 719 – Tangazo Jipya Kutoka Sekretarieti ya Ajira (PSRS)Imechapishwa: 8 Desemba 2025 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetoa Tangazo Jipya la Nafasi 719 za Kazi kwa niaba ya taasisi mbalimbali za Serikali. Tangazo hili linawahusu Watanzania wote wenye sifa zinazohitajika, maadili mema, uwezo wa kufanya kazi kwa…
-
NAFASI 5476 ZA MAFUNZO VETA

Nafasi 5,476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA – Desemba 2025Tarehe: 5 Desemba 2025Chanzo: Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi Utangulizi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano inatekeleza Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi, mpango maalum unaolenga kuwawezesha vijana wa Kitanzania kupata ujuzi wa stadi za kazi…
-
KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs – Desemba 2025 TAARIFA RASMI – OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia waombaji kazi wote walioomba nafasi mbalimbali za kazi kupitia mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kuwa wameitwa kwenye usaili kuanzia…
