Tag: daniel-123
-
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya VETA 2026

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya VETA 2026 Yametangazwa Dar es Salaam, Desemba 16, 2025 – Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza rasmi majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya VETA kwa muhula wa masomo unaoanza Januari 2026. Kwa mujibu wa tangazo hilo, uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa…
